Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Tafiti zinaonesha kwamba mawasiliano ni mojawapo ya mambo yanayooongoza katika kusababisha migogoro ya ndoa na kusababisha kukosekana kwa amani katika ndoa na familia na hatimaye kuvunjika kwa ndoa. Tatzio mojawapo linalochangia kukosekana kwa mawasilinao mazuri katika ndoa ni mwanandoa mmoja au wote kuwa wasikilizaji wabovu. Huenda wewe ni mmojawapo wa…
All posts in May 2022
Hivi Ndivyo Mawasiliano Yanavyoweza Kujenga Au Kubomoa Ndoa Yako
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo “Mimi sielewi nini kimetokea katika ndoa yetu,’’ alisema Kelvin (siyo jina lake halisi) huku akiwa na msongo kubwa wa mawazo. Kabla hatujaoana tulikuwa na mambo mengi ya kuongea. Sasa hatuongei. Kwa upande wa Esta (siyo jina lake halisi) ambaye ni mke wa Kelvin anasema “huwa simwambii chochote, na hivyo hana…
Hivi Ndivyo unavyoweza kuchagua Mada na Mafungu ya Kutumia Katika Hubiri Lako
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kila hubiri lina ujumbe ambao unaenda kwa hadhira. Kwa kuwa kiini cha hubiri lolote ni maandiko, ujumbe wako lazima utoke kwenye maandiko. Hivyo, moja ya vitu vya kwanza kufikiria unapoandaa hubiri lako ni fungu au mafungu utakayotumia kwenye hubiri lako. Lakini pia, badala ya kuanza kufikiria fungu utakalotumia, unaweza kuanza…
Je, Unajua Kuna Aina Ngapi za Mahubiri?
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mhaubiri, bila shaka ulishagundua kuwa zipo aina nyingi za mahubiri ya kutegemeana na aina ya tukio au ibada, aina ya hadhira, aina ya mhubiri na kadhalika. Vilevile, aina ya mahubiri, yanaweza kutofautiana kulingana na namna unavyoamua kuyaainisha. Katika makala hii, naenda kukushirikisha ina kuu tano za mahubiri. Mhubiri anaweza…
Hivi Ndivyo Usiri Katika Mambo ya Fedha Unavyoweza Kuvuruga Ndoa yako
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo Tafiti zilizofanyika katika nchi mbalimbali duniani zinaonesha kuwa mojawapo ya mambo yanayoongoza kusababisha migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa ni fedha. Fedha zinaweza kuchangia migogoro katika ndoa kwa namna nyingi. Namna mojawapo ni kukosa uwazi katika masuala ya fedha baina ya wanandoa. Inasikitisha kwamba, kuna ndoa ambazo, mume na mke…