Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya mambo muhimu sana ya kuzingatia unapochagua mwenzi wa maisha (mume au ke) ni imani ya dini. Jambo hili limekuwa likipuuzwa sana na watu wengi na ni kawaida kukuta mkristo ameoana na mwislamu au mkristo ameoana na mtu asiye na dini au mkristo wa madhehebu fulani kuoana na mkristo…
All posts in September 2022
Je, Kuna Tatizo Gani Kuoana na Mtu wa Imani Nyingine?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wakati Mungu anaanzisha taasisi ya ndoa, alimtafutia Adamu mke wa kufanana naye kama Neno lake linavyosema “Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye” (Mwanzo 2:18). Kwa sababu hiyo, nasi hatupaswi kufanya tofauti bali kutafuta mtu wa kufanana nasi. Kufanana kwa wanandoa kutawafanya…
Kama Hizi Ndizo Sababu Zako za Kufunga Ndoa, Jitafakari Upya
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Zipo sababu nyingi zinazochangia kuharibika na hata kuvunjika kwa mahusiano katika ndoa. Sababu mojawapo ni sababu iliyowafanya wanandoa kuingia katika ndoa. Zipo sababu sahihi na zisizo sahihi za watu kuingia katika ndoa. Ukiingia katika ndoa kwa sababu sahihi, ndoa yako ina uwezekano mkubwa wa kuwa na amani, upendo na furaha.…
Kama Unataka Kupendeza Unapovaa Tai, Hizi Ndizo Kanuni za Kuzingatia
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika nchi nyingi duniani, tai inaonekana kuwa ni sehemu muhimu ya mavazi rasmi hasa kwa wanaume. Kwa sababu hiyo, wanaume wengi wakristo na hata wasio wakristo huvaa tai wanapojihusisha na shughuli mbalimbali zilizo rasmi na katika huduma zao ya kueneza injili. Tai nzuri yaweza kumwongezea mwanaume mwonekano na kumfanya apendeze.…