Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Naomba nikukaribishe katika mwendelezo wa makala kuhusu matumizi ya visa katika kufundisha na kuhubiri watoto. Katika sehemu iliyopita, tuliona mambo muhimu matano ya kuzingatia unapofunidsha au kuhubiri kwa kutumia visa. Kusoma makala iliyotangulia, bonyeza hapa Leo, naomba nikushirikishe mambo mengine muhimu. Mambo hayo ni kama ifuatavyo: Fahamu hadhira yako: Kwa…
All posts in MALEZI YA WATOTO
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Watoto kwa kutumia Visa
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Zipo njia nyingi zinazotumika katika kufundisha na kuhubiri watoto wa umri mbalimbali kanisani, nyumbani na katika vipindi vya dini mashuleni. Kati ya njia hizo visa na hadithi ni njia ambayo inatumiwa na walimu na wahubiri wengi wa watoto pengine kuliko njia nyingine zote. Yesu Kristo mwenyewe alitumia sana visa kufikisha…
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujenga Msingi Bora wa Malezi kwa Mtoto Wako
Rafiki yangu Mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya mashujaa wa imani tunaowasoa kwenye Biblia ni Danieli na wenzake watatu. Danieli alizaliwa katika ufalme wa Yuda katika kipindi cha wasiwasi na misukosuko kutokana na kuibuka kwa Babeli kama ufalme wenye nguvu kwa wakati ule. Danieli alikuwa ni kijana mdogo tu mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 15…
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufanya ili Kuitikia Maelekezo ya Yesu Aliposema “Waacheni Watoto wadogo Waje Kwangu…
Rafiki yangu mpendwa Katika Kristo, Neno la Mungu linaeleza kuwa “Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. Ila Yesu alipoona alichukizwa sana, akawaambia, Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie; kwa maana watoto kama hawa ufalme wa Mungu ni wao. Amin, nawaambieni, Ye yote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa. Akawakumbatia,…
Hivi ndivyo Akina Mama wanavyoweza kuwapeleka Watoto kwa Yesu
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika malezi ya watoto kikristo, wazazi wote wawili wana nafasi yake. Japo wanatakiwa kushirkiana lakini baba ana nafasi yake mahususi na mama pia ana nafasi yake. Tayari tumeshaona kwa kifupi namna gani akina baba wana walivyo na mchango katika kumpeleka mtot kwa Yesu. Katika makala ya leo tutaangalia mchango wa…
Hivi ndivyo akina baba wanavyoweza kuwapeleka watoto wao kwa Yesu
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mwalimu mmoja asiyeamini kwamba Mungu yupo (atheist), siku moja alimtuma mwanafunzi wake kwenda nje ya darasa na kungalia juu. Aliporudi mwalimu aliuliza, umeliona anga? Umeyaona mawingu? Umeuona mwanga wa jua? Mwanafunzi alikuwa akijibu “ndiyo” kwa kila swali. Na mwisho mwalimu alimuuliza, “Umemuona Mungu”? Mwanafunzi alijibu “Hapana”. Kufuatia jibu hilo mwalimu…
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Kwa Watoto wa Siku Hizi
Rafiki yangu mpendwa katika Krsito, Tunaishi katika karne ambayo imepewa jina la “Karne ya Sayansi na Teknolojia”. Maendeleo makubwa ya Sayansi na teknolojia yamesababisha mabadiliko karibu katika nyanja zote za maisha ya mwanadamu na mabadiliko hayo yanatokea kwa kasi sana kuliko karne zilizopita. Maendeleo tunayoyashuhudia si kitu cha kushangaza kwa wasomaji wa Biblia maana ni…
Unajua Umuhimu wa kuwafundisha watoto elimu ya kiroho?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wana wasiwasi kuhusu kuwalea watoto katika ulimwengu wa leo unaokabiliwa na changamoto za utandawazi. Hata hivyo, hatuna sababu ya kuwa na wasiwasi kama tukifuata ushauri huu: “Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee”(Mithali 22:6). Watoto waendeleapo kukua, wanahitaji ‘njia’, yaani kanuni…