MKRISTO NA MAISHA YA MAFANIKIO

“Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo” (3 Yohana 1:2)
Karibu ujiunge na mtandao huu wa Mkristo Na Maisha Ya Mafanikio.
Kwa kujiunga utakuwa unapokea mafunzo moja kwa moja na bure kabisa kwenye email yako.
Jaza taarifa zako hapo chini kupata mafunzo haya muhimu kwa mafanikio yako.
Image
Misingi Sahihi Ya Mafanikio Kwa Mkristo

Kwa kujiunga na mtandao huu utajifunza misingi sahihi ya mafanikio kwa Mkristo.

 

Kwa kuiishi misingi hiyo utaweza kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako.

Utajiri Wa Kikristo
Kwa kujifunza na kuiishi misingi sahihi ya Ukristo utaweza kujenga utajiri mkubwa na kuwa na uhuru kwenye maisha yako.
 
Utaondokana na dhana kwamba utajiri ni mbaya au dhambi na utaweza kujenga utajiri huku pia ukimpendeza Mungu.
Image

Jaza sasa fomu hii ili usikose haya mazuri yanayopatikana kwenye mtandao wa MKRISTO NA MAISHA YA MAFANIKIO.

Copyrights © My Company
Create a