Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Umewahi kusikia kuhusu jarida la Forbes? Hili ni jarida maarufu la kibiashara la Marekani ambalo huchapisha masuala ya fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Jarida hili ni maarufu sana duniani kwa kutoa takwimu, orodha na madaraja ya vitu kama vile orodha ya watu matajiri (mabilionea) zaidi duniani (the Word’s Billionaires). Januari…
