Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Naomba nikukaribishe katika mwendelezo wa makala kuhusu matumizi ya visa katika kufundisha na kuhubiri watoto. Katika sehemu iliyopita, tuliona mambo muhimu matano ya kuzingatia unapofunidsha au kuhubiri kwa kutumia visa. Kusoma makala iliyotangulia, bonyeza hapa Leo, naomba nikushirikishe mambo mengine muhimu. Mambo hayo ni kama ifuatavyo: Fahamu hadhira yako: Kwa…
All posts in June 2022
Biblia inasemanaje kuhusu Injili ya Mafanikio? – 5
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mfulululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio. Hadi sasa tumeshambua mafungu mengi yanayobainisha kuwa injili ya mafanikio kama inavyofundishwa na wahubiri wengi inavyopingana na Biblia. Katika makala haya ya mwisho katika mfulululizo huu tutaangalia namna ambavyo injili ya mafanikio inavyopotosha dhana nzima ya utii wa wanadamu kwa…
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Watoto kwa kutumia Visa
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Zipo njia nyingi zinazotumika katika kufundisha na kuhubiri watoto wa umri mbalimbali kanisani, nyumbani na katika vipindi vya dini mashuleni. Kati ya njia hizo visa na hadithi ni njia ambayo inatumiwa na walimu na wahubiri wengi wa watoto pengine kuliko njia nyingine zote. Yesu Kristo mwenyewe alitumia sana visa kufikisha…
Biblia inasemaje kuhusu Injili ya Mafanikio ?-4
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mfululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio. Hii ni injili maarufu sana na inayopendwa na watu wengi siku hizi. Injili hii inawafundisha watu kuwa ukimwamini Yesu na ukawa mwaminifu kwake utapata mafanikio katika maisha yako. Mafanikio hayo ni pamoja na utajiri wa mali, afya njema na mambo…
Biblia Inasemaje Kuhusu Injili ya Mafanikio?- 3
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu katika sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio ambapo tunaangalia Biblia inasemaje kuhusu injili hiyo. Leo, tutaona namna ambavyo injili ya mafanikio inavyopotosha tabia ya Mungu kuhusu upendo na namna ambavyo injili hiyo inamfanya mwanadamu awe kiumbe cha kufikirika tu. Karibu tujifunze pamoja. Kupata makala…
Biblia inasemaje Kuhusu Mafundisho ya Injili ya Mafanikio?-2
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya fundisho maarufu katika ukristo katika zama hizi ni injili ya mafaniko (prosperity gospel) au injili ya utajirisho. Injili hii inafundisha kuwa ukiwa mkristo mwaminifu una uhakika wa mafanikio kama vile utajiri, afya njema na kadhalika. Kwa mujibu wa mafundisho kuhusu njili ya mafanikio, mojawapo ya ishara kuwa wewe…
Biblia Inasemaje kuhusu Mafundisho ya Injili ya Mafanikio?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kutokana na ongezeko la madhehebu ya Kikristo hapa nchini na duniani kwa ujumla, kumekuwa pia na ongezeko la mafundisho ya kila aina kuhusu masuala mbalimbali ya imani ikiwemo suala la mafanikio ya kiuchumi. Baadhi ya wahubiri wamekuwa na ujumbe rahisi: Mungu anataka kukubariki, na ushahidi wa baraka hiyo ni kuwa…