Unaweza Kuanzia Wapi Katika Safari ya Kujiajiri? Rafiki yangu Mpendwa, Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka kwa wahitimu wa elimu ya juu. Katika sehemu iliyopita ya waraka wangu, nilikuahidi kuwa nitakushauri ni wapi unaweza kuanzia katika safari yako ya kujiajiri baada ya kumaliza masomo yako. Najua kabisa ya kwamba nikikuambia ujiajiri, utanijibu kuwa…
All posts in August 2023
Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- sehemu ya tatu
Kabla hujaingia kwenye ujasiriamali soma hapa kwanza Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka wa wazi kwa wahitimu wa elimu ya juu wa mwaka 2023. Katika makala yaliyopita ambayo ilikuwa sehemu ya pili ya waraka huu, nilikupatia mambo kadhaa unayopaswa kuyafahamu kabla hujaanza kusaka ajira. Kati ya mambo hayo, nilikushauri kufanya maamuzi ya kujiajiri…
Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- Sehemu ya Pili
Kabla ya Kuzunguka na Bahasha Kusaka Ajira, Nina Ujumbe Wako Rafiki yangu mpendwa, Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka wa wazi kwa wahitimu wa elimu ya juu 2023. Katika makala yaliyopita niliwaonesha namna ambavyo mmekuwa mkidaganywa na kudanganyana kuhusu maisha baada ya masomo yenu hususani kuhusu upatikananji wa ajira na mishahara mizuri. Ukweli…