Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Hivi umeshawahi kujiuliza, ikitokea umestaafu na ukacheleweshewa mafao yako kwa muda wa miezi sita au zaidi, maisha yako na ya familia yako yatakuwaje? Swali jingine, ambalo nakuomba ujiulize ni hili: Unajua kwamba pensheni utakayokuwa unalipwa kila mwezi baada ya kustaafu ni ndogo kuliko mshahara wako wa sasa? Kama unajua, je,…
