Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika ulimwengu wa leo uliogubikwa na teknolojia, mawasiliano ya simu ni sehemu muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku. Simu za zimekuwa zikitumika kwa kiasi kikubwa katika mawasiliano ya binafsi na ya kikazi. Hata hivyo, ni muhimu kufuata kanuni za adabu na mienendo sahihi katika matumizi ya simu ili…
All posts in MAFANIKIO
Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- sehemu ya 4
Unaweza Kuanzia Wapi Katika Safari ya Kujiajiri? Rafiki yangu Mpendwa, Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka kwa wahitimu wa elimu ya juu. Katika sehemu iliyopita ya waraka wangu, nilikuahidi kuwa nitakushauri ni wapi unaweza kuanzia katika safari yako ya kujiajiri baada ya kumaliza masomo yako. Najua kabisa ya kwamba nikikuambia ujiajiri, utanijibu kuwa…
Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- sehemu ya tatu
Kabla hujaingia kwenye ujasiriamali soma hapa kwanza Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka wa wazi kwa wahitimu wa elimu ya juu wa mwaka 2023. Katika makala yaliyopita ambayo ilikuwa sehemu ya pili ya waraka huu, nilikupatia mambo kadhaa unayopaswa kuyafahamu kabla hujaanza kusaka ajira. Kati ya mambo hayo, nilikushauri kufanya maamuzi ya kujiajiri…
Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- Sehemu ya Pili
Kabla ya Kuzunguka na Bahasha Kusaka Ajira, Nina Ujumbe Wako Rafiki yangu mpendwa, Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka wa wazi kwa wahitimu wa elimu ya juu 2023. Katika makala yaliyopita niliwaonesha namna ambavyo mmekuwa mkidaganywa na kudanganyana kuhusu maisha baada ya masomo yenu hususani kuhusu upatikananji wa ajira na mishahara mizuri. Ukweli…
Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023
Baada ya kudanganywa na kijidanganya, huu hapa ukweli ambao huujui Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Hiki ni kipindi cha mwaka ambacho wanafunzi wa elimu ya juu (isipokuwa wachache) wamekamilisha muhula wa mwisho wa mwaka wa masomo. Na kati yao kuna ambao wamehitimu masomo yao kwa ngazi mbalimbali kuanzia astashahada (certfificate), stashahada (Diploma), shahada ya kwanza…
Waraka wa Wazi Kwa Wahitimu wa Kidato Cha Sita 2023- Sehemu ya Pili
Nendeni Chuoni Mkijua Hakuna Ajira Na Mliofeli Pambaneni na Hali Zenu. Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu katika sehemu ya pili ya waraka wa wazi kwa wahitimu wa kidato cha sita 2023. Katika sehemu ya kwanza ya waraka huu niliwakumbusha wale waliofaulu mtihani wa kidato cha sita kuwa kwa sasa dunia nzima kuna tatizo la…
Waraka wa wazi kwa wahitimu wa kidato cha sita 2023
Nendeni chuoni mkijua hakuna ajira na mliofeli pambaneni na hali zenu. Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wiki iliyopita, Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), lilitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika Mei, 2023. Kama ilivyo kawaida, katika mitihani, wapo waliofaulu vizuri na kupata sifa za kuendelea na masomo ya elimu ya juu na…
Utashangaa Kusikia Siri hii Kutoka Kwa Wasomaji wa Vitabu
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Umewahi kusikia kuhusu jarida la Forbes? Hili ni jarida maarufu la kibiashara la Marekani ambalo huchapisha masuala ya fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Jarida hili ni maarufu sana duniani kwa kutoa takwimu, orodha na madaraja ya vitu kama vile orodha ya watu matajiri (mabilionea) zaidi duniani (the Word’s Billionaires). Januari…