Rafiki yangu mpendwa, Karibu katika mwendelezo wa makala kuhusu tabia mbaya unazopaswa kuziepuka unapokuwa katika mazungumzo muhimu na mtu. Katika makala yaliyopita, tuliangalia tabia mbili ambazo zinaweza kuharibu mazungumzo yako na mtu au watu wengine. Tabia ya kwanza ni kumkatiza mtu mwingine anapoongea na tabia ya pili ni kumalizia maneno au sentensi za mtu mwingine.…
All posts in MAISHA YA KIKRISTO
Kama Unataka Kupendeza Unapovaa Tai, Hizi Ndizo Kanuni za Kuzingatia
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika nchi nyingi duniani, tai inaonekana kuwa ni sehemu muhimu ya mavazi rasmi hasa kwa wanaume. Kwa sababu hiyo, wanaume wengi wakristo na hata wasio wakristo huvaa tai wanapojihusisha na shughuli mbalimbali zilizo rasmi na katika huduma zao ya kueneza injili. Tai nzuri yaweza kumwongezea mwanaume mwonekano na kumfanya apendeze.…
Kama Hii Ndiyo Sababu Yako ya Kutumia Vipodozi, Achana Navyo
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika Biblia, matumizi ya vipodozi yanaonekana kwa mara ya kwanza katika 2 Wafalme 9:30 ambapo tunaelezwa namna Yezebeli alivyojipamba machoni na kichwani. “Hata Yehu alipofika Yezreeli, Yezebeli akapata habari; akatia uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani”. Kisa hiki kilitokea wakati mfalme Yehu alipowasili Yezreeli baada ya kuwa amemuua…
Kama Wewe ni Mwanamke Unayetaka Kumvutia Mume Wako, Jipambe Hivi
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wanawake wa siku hivi wamekuwa wakihangaika kutafuta kila namna ya kuwavutia waume zao. Njia mojawapo ambayo wamekuwa wakiitumia ni kujipamba kwa namna mbalimbali. Lakini pamoja na kujiamba huko, baadhi bado hawawavutii kabisa waume zao. Kama wewe ni mmojawapo wa wanawake hao, bila shaka umewahi kujiuliza “hivi ninakwama wapi”? Kama hujawapi…
Kuna Uhusiano gani Kati ya Mwonekano wa Nje wa Mtu na Hali yake ya Kiroho?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, “Mungu haangalii nje bali anaangalia ndani ya moyo” ni kauli maarufu sana inayotokana na dhana kwamba namna mtu anavyoonekana kwa watu wengine si muhimu ili mradi tu ndani ya moyo wake yuko safi. Watu wanaotoa kauli hiyo huenda mbali zaidi hata kuithibitisha kwa kutumia maandiko matakatifu kama vile “…… Bwana…
Je, Unataka Kujua kwa nini Wanawake Hupenda Kuvaa ‘Vimini’? Soma hapa
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya mambo ambayo Mungu wetu anayajali sana na ameyatolea maelekezo bainifu ni mwonekano wetu wa nje hususani katika mavazi, mapambo na vipodozi. Kwa mfano, kupitia katika 1 Timotheo 2:9-10 na Petro 3:1- 5, Mungu anasisitiza juu ya wakristo kuvaa mavazi ya heshima, yaani mavazi ya kujisitiri na yenye adabu.…
Mavazi ya kujisitiri yanayotajwa na Biblia ni yapi?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Suala la mavazi yanayomfaa mkristo ni mojawapo ya masuala tete katika ulimwenguni wa leo wenye mwingiliano wa tamaduni mbalimbali unaosabishwa na utandawazi. Kwa miaka ya nyumba hakukuwa na kelele nyingi sana kuhusu suala hili maana watu wengi walikuwa wanavaa mavazi ya kujisitiri. Kutokana na mwingiliano wa tamaduni mbalimbali, watu wanaiga…
Je, Mungu anajali unavyovaa na kujipamba?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Baadhi ya watu hudhani kuwa namna mtu anavyoonekana kwa watu wengine si muhimu ili mradi tu ndani ya moyo wake yuko safi wakidai kuwa Mungu haangalii nje bali anaangalia ndani ya moyo tu. Je, ni kweli Mungu anaangalia muonekano wa ndani pekee na hajali kabisa mwonekano wa nje? Ni kweli…