Rafiki yangu mpendwa , tunaendelea na mfululizo wa makala kuhusu mada ya mikopo na madeni. Katika makala yaliyopita, tuliangalia namna ambavyo mtu ambaye hana madeni anavyoweza kuepuka kuingia katika madeni. Katika makala ya leo, tutaangalia namna mtu aliye tayari katika madeni anavyoweza kutoka katika madeni hayo na kuwa huru. Kuondokana na mikopo kunaweza kufananishwa na…
