Rafiki yangu mpendwa, Mwanzoni mwa mwezi huu, zilisambaa habari katika mitandao ya kijamii, magazeti, redio na televisheni kuhusu watu wapatao 300 kudai kutapeliwa na kampuni ya Bestway Capital Management (BCM) ya jijini Dar es Salaam. Mmoja wa watu waliodai kutapeliwa na kampuni hiyo, Bw. Charles Kapongo ambaye ni mkazi wa jiji Dar es salaam alinukuliwa…