Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mwendelezo wa makala juu ya nini husababisha baadhi ya watu wanaopata fedha nyingi kuishia kuwa maskini wa kutupwa. Tayari tulishangalia makundi ya watu wanaopata fedha nyingi na makundi gani yenye uwezekano mkubwa wa kuishiwa fedha na kuwa maskini na nini kinapelekea hali hiyo. Kabla ya kuendelea…
All posts in FEDHA
Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Baadhi ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia kuwa Maskini- 2
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Je, umewahi kushuhudia mtu anapata fedha nyingi sana ambazo zingeweza kumtoa katika umaskini, lakini baada ya muda anakuwa hana fedha tena na anaishia kuwa umaskini wa kutupwa? Unajua kwa nini? Zipo sababu nyingi zinazopelekea hali hii. fuatana nami katika makala haya ambapo tutajadili baadhi ya sababu hizo. Sababu tutakazojadili zinawahusu…
Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Baadhi ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia kuwa Masikini
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Bila shaka umewahi kushuhudia mtu anapata fedha nyingi sana ambazo zingeweza kumtoa katika umaskini. Lakini cha kushangaza mtu huyo baada ya muda anakuwa hana fedha ten ana anaishia kuwa umaskini. Tena siyo umaskini wa kawaida bali umaskini wa kutupwa kana kwamba hajawahi kupata fedha nyingi. Kama umekuwa ukijiuliza kwa nini…
Usiponielewa leo,Utanielewa Utakapotapeliwa
Rafiki yangu mpendwa, Mwanzoni mwa mwezi huu, zilisambaa habari katika mitandao ya kijamii, magazeti, redio na televisheni kuhusu watu wapatao 300 kudai kutapeliwa na kampuni ya Bestway Capital Management (BCM) ya jijini Dar es Salaam. Mmoja wa watu waliodai kutapeliwa na kampuni hiyo, Bw. Charles Kapongo ambaye ni mkazi wa jiji Dar es salaam alinukuliwa…
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutoka Katika Utumwa wa Madeni
Rafiki yangu mpendwa , tunaendelea na mfululizo wa makala kuhusu mada ya mikopo na madeni. Katika makala yaliyopita, tuliangalia namna ambavyo mtu ambaye hana madeni anavyoweza kuepuka kuingia katika madeni. Katika makala ya leo, tutaangalia namna mtu aliye tayari katika madeni anavyoweza kutoka katika madeni hayo na kuwa huru. Kuondokana na mikopo kunaweza kufananishwa na…
Ukifanya Haya Utajiepusha na Hatari ya Kuingia Kwenye Madeni Mabaya
Rafiki yangu mpendwa, Karibu tena katika mwendelezo wa makala kuhusu mikopo na madeni. Katika makala ya nyuma nimekuwa nikikushirikisha mambo kadhaa kuhusu mada hii. Pamoja na mambo mengine, tumejifunza kuwa hakuna andiko lolote katika Biblia linalosema kwamba kukopa ni dhambi au kukopesha ni dhambi na kwamba yapo mafungu kadhaa ambayo ama moja kwa moja au…
Unahitaji Kujua Kweli Hizi Kabla ya Kuchukua Mkopo Wowote
Rafiki yangu Mpendwa, Suala la madeni yatokanayo na mikopo linawatesa wengi. Sababu mojawapo ya hali hii ni kwamba kuna kweli nyingi ambazo watu hawazijui kuhusu mikopo na pia kuna upotoshaji mwingi sana kuhusu mikopo. Kwa mfano: Fuatana nami nami katika makala haya ninapoangazia hoja hizi: Kigezo cha kuzingatia unapochukua mkopo ni kimoja tu Ikitokea unahitaji…
Kama Unataka Usiteseka na Madeni, Fahamu Tofauti Kati ya Mikopo Mizuri na Mikopo Mibaya
Rafiki yangu Mpendwa, Pamoja na ukweli kwamba watu wengi wanateswa na madeni yatokanayo na mikopo lakini wapo watu ambao mikopo imewaleta mafanikio makubwa. Sasa unaweza kujiuliza, kwa nini baadhi ya watu wanufaike na mikopo wakati wengine iwatese? Sababu ya tofauti hii iko katika aina ya mkopo ambao mtu anauchukua. Mikopo inayowatesa watu wengi ni mikopo…
Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unapaswa Kuogopa Madeni Kama Ukoma
Rafiki yangu mpendwa, Mwandishi maarufu wa karne ya 19 na 20 wa vitabu vya kikristo na machapisho mengine aitwaye Ellen G. White, katika kitabu chake kiitwacho Counsels on Stewardship, uk. 272 ameandika “Ni lazima kuwepo na zingatio makini kuhusu uchumi, la sivyo deni kubwa litapatikana. Dumu katika mipaka. Epuka upatikanaji wa deni kama vile ambavyo…
Biblia Inasemaje Kuhusu Kukopesha kwa Riba?
Rafiki yangu mpendwa, Katika makala yaliyopita, tuligusia kidogo suala la kukopesha kwa riba. Katika makala ya leo, tutaliangalia suala hili kwa undani kidogo ili kuona kama Biblia inaruhusu kukopesha kwa riba au ala. Kusoma makala juu ya ‘Biblia inasemaje kuhusu kukopa na kukopesha’ bonyeza hapa Biblia imetoa miongozo bayana kuhusu kukopeshana ambapo imeeleza ni nani…