Mpenzi msomaji, Tunaendelea na mfululizo wa makala kuhusu uhusiano wa ushirikina na mafanikio ya kiuchumi. Katika makala yaliyopita tuliona kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tuliangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu wanazotumia waganga hao bila ya wewe kuwa mshirikina na ukafikia mafanikio…
All posts in IMANI
Hivi Ndivyo Watu Hutajirika kwa Kutumia Ushirikina – 3
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena kwenye mfululizo wa makala kuhusu uhusiano wa ushirikina na mafanikio ya kiuchumi. Katika makala yaliyopita tuliona kuwa kuna watu wanadai kupata mafanikio makubwa ya kiuchumi kwa kutumia ushirikina. Nilieleza hayo kwa kutumia sayansi ya tabia ya mwanadamu. Hata hivyo, ukweli ni kwamba mafanikio hayo hayaletwi na ushirikina bali…
Hivi Ndivyo Watu Hutajirika kwa Kutumia Ushirikina – 2
Rafiki yangu katika Kristo, Tunaendelea na mfululizo wa makala kuhusu uhusiano kati ya ushirikina na utajiri. Katika makala haya, tutaangalia kama ushirikina unaweza kusaidia kupata utajiri na mafanikio mengine au la. Kupata makala ya nyuma kuhusu mada hii, bonyeza hapa. Pengine, swali muhimu la kujiuliza ni hili: Je ni kweli ushirikina unaweza kuleta utajiri? Jibu…
Hivi Ndivyo Watu Hutajirika kwa Kutumia Ushirikina
Rafiki yangu katika Kristo, Maneno “ushirikina” na uchawi si mageni masikioni mwetu na kwenye fikra zetu. Imekuwa ni kawaida kuona katika sehemu mbalimbali watu wakiitwa wachawi au washirikina kwa sababu mbalimbali. Kwa mfano, katika jamii niliyozaliwa na kukulia, wanawake wenye macho mekundu hasa vikongwe hutuhumiwa kujihusisha na uchawi kwa kuwaloga watu wengine. Lakini pia, baadhi…
Mtu Makini Kama Wewe Hupaswi Kushiriki Michezo ya Bahati Nasibu
Rafiki yangu mpendwa, Mimi siyo mfuatiliaji kabisa wa vyombo vya habari. Lakini siku ya leo nimejikuta nasikiliza matangazo ya kituo kimoja cha radio wakati napata chakula katika mgahawa fulani. Kila baada ya muda kulikuwa na matangazo ya biashara yanayohamasisha wasikilizaji kubeti ili kubashiri matokeo ya mechi za mashindano ya kombe la dunia yanayoendelea huko Qatar.…
Je, Hata Mkristo anaweza Kuandika Wosia?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo Kwa watu wote ambao maisha yao yanaongozwa na Biblia, wanatambua kuwa kifo ni kitu halisi kama sehemu ya hali ya sasa ya mwanadamu iliyoathiriwa na dhambi (Mwanzo 2:17; Warumi 5; Waebrania 9:27). “Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa, na…
Je, ni sawa kwa Mkristo Kuandika Wosia?
Kwa watu wote ambao maisha yao yanaongozwa na Biblia, wanatambua kuwa kifo ni kitu halisi kama sehemu ya hali ya sasa ya mwanadamu iliyoathiriwa na dhambi (Mwanzo 2:17; Warumi 5; Waebrania 9:27). “Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa (Mhubiri 3:1-2).…
Biblia inasemanaje kuhusu Injili ya Mafanikio? – 5
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mfulululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio. Hadi sasa tumeshambua mafungu mengi yanayobainisha kuwa injili ya mafanikio kama inavyofundishwa na wahubiri wengi inavyopingana na Biblia. Katika makala haya ya mwisho katika mfulululizo huu tutaangalia namna ambavyo injili ya mafanikio inavyopotosha dhana nzima ya utii wa wanadamu kwa…
Biblia inasemaje kuhusu Injili ya Mafanikio ?-4
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mfululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio. Hii ni injili maarufu sana na inayopendwa na watu wengi siku hizi. Injili hii inawafundisha watu kuwa ukimwamini Yesu na ukawa mwaminifu kwake utapata mafanikio katika maisha yako. Mafanikio hayo ni pamoja na utajiri wa mali, afya njema na mambo…
Biblia Inasemaje Kuhusu Injili ya Mafanikio?- 3
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu katika sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio ambapo tunaangalia Biblia inasemaje kuhusu injili hiyo. Leo, tutaona namna ambavyo injili ya mafanikio inavyopotosha tabia ya Mungu kuhusu upendo na namna ambavyo injili hiyo inamfanya mwanadamu awe kiumbe cha kufikirika tu. Karibu tujifunze pamoja. Kupata makala…