Rafiki yangu katika Kristo, Maneno “ushirikina” na uchawi si mageni masikioni mwetu na kwenye fikra zetu. Imekuwa ni kawaida kuona katika sehemu mbalimbali watu wakiitwa wachawi au washirikina kwa sababu mbalimbali. Kwa mfano, katika jamii niliyozaliwa na kukulia, wanawake wenye macho mekundu hasa vikongwe hutuhumiwa kujihusisha na uchawi kwa kuwaloga watu wengine. Lakini pia, baadhi…