Karibu kwenye ukurasa huu maalumu wenye taarifa za vitabu vizuri vya maisha na mafanikio kwa kila mkristo.
Kupata maelezo zaidi kwa kila kitabu bonyeza kwenye jina la kitabu au picha.
Kwa maelezo zaidi kuhusu vitabu wasiliana nazi kwa njia zifuatazo; +255754-405582 (Simeon Shimbe), +255714-606278 (Devotha Shimbe) na E-mail: spshimbe@gmail.com, devothashimbe@gmail.com
KITABU; SIRI ZA MAFANIKIO YA KIFEDHA KATIKA NDOA NA FAMILIA
KITABU; HOMILIA KWA WALEI: USTADI WA KUANDAA NA KUWASILISHA MAHUBIRI