Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Watu wengi wakiwemo wakristo, hutafuta mafanikio ya kifedha ili wafaidike wao wenyewe na familia zao tu. Lakini haipaswi kuwa hivyo, badala yake fedha unapoipata, kabla ya hata hujaanza kuitumia yakupasa kumpatia Mungu kilicho chake kama Neno la Mungu linavyosema “Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya…
