Baada ya kudanganywa na kijidanganya, huu hapa ukweli ambao huujui Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Hiki ni kipindi cha mwaka ambacho wanafunzi wa elimu ya juu (isipokuwa wachache) wamekamilisha muhula wa mwisho wa mwaka wa masomo. Na kati yao kuna ambao wamehitimu masomo yao kwa ngazi mbalimbali kuanzia astashahada (certfificate), stashahada (Diploma), shahada ya kwanza…
