Rafiki yangu Mpendwa, Suala la madeni yatokanayo na mikopo linawatesa wengi. Sababu mojawapo ya hali hii ni kwamba kuna kweli nyingi ambazo watu hawazijui kuhusu mikopo na pia kuna upotoshaji mwingi sana kuhusu mikopo. Kwa mfano: Fuatana nami nami katika makala haya ninapoangazia hoja hizi: Kigezo cha kuzingatia unapochukua mkopo ni kimoja tu Ikitokea unahitaji…
All posts in January 2023
Kama Unataka Usiteseka na Madeni, Fahamu Tofauti Kati ya Mikopo Mizuri na Mikopo Mibaya
Rafiki yangu Mpendwa, Pamoja na ukweli kwamba watu wengi wanateswa na madeni yatokanayo na mikopo lakini wapo watu ambao mikopo imewaleta mafanikio makubwa. Sasa unaweza kujiuliza, kwa nini baadhi ya watu wanufaike na mikopo wakati wengine iwatese? Sababu ya tofauti hii iko katika aina ya mkopo ambao mtu anauchukua. Mikopo inayowatesa watu wengi ni mikopo…
Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unapaswa Kuogopa Madeni Kama Ukoma
Rafiki yangu mpendwa, Mwandishi maarufu wa karne ya 19 na 20 wa vitabu vya kikristo na machapisho mengine aitwaye Ellen G. White, katika kitabu chake kiitwacho Counsels on Stewardship, uk. 272 ameandika “Ni lazima kuwepo na zingatio makini kuhusu uchumi, la sivyo deni kubwa litapatikana. Dumu katika mipaka. Epuka upatikanaji wa deni kama vile ambavyo…