Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Bila shaka umewahi kushuhudia mtu anapata fedha nyingi sana ambazo zingeweza kumtoa katika umaskini. Lakini cha kushangaza mtu huyo baada ya muda anakuwa hana fedha ten ana anaishia kuwa umaskini. Tena siyo umaskini wa kawaida bali umaskini wa kutupwa kana kwamba hajawahi kupata fedha nyingi. Kama umekuwa ukijiuliza kwa nini…