Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Watu wengi wanaotafuta wachumba au walioko kwenye uchumba huwa wanajiuliza, nitawezaje kumjua mchumba mwenye mapenzi ya dhati kwangu na nitawezaje kumbaini yule asiye na mapenzi ya dhati kwangu? Kila mtu anayetafuta mchumba au aliyeko kwenye uchumba tayari, ni muhimu sana kujiuliza maswali hayo. Usipojiuliza maswali haya na kupata majibu yake…
