Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kutokana na ongezeko la madhehebu ya Kikristo hapa nchini na duniani kwa ujumla, kumekuwa pia na ongezeko la mafundisho ya kila aina kuhusu masuala mbalimbali ya imani ikiwemo suala la mafanikio ya kiuchumi. Baadhi ya wahubiri wamekuwa na ujumbe rahisi: Mungu anataka kukubariki, na ushahidi wa baraka hiyo ni kuwa…