Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Watoto ni zawadi, thawabu na urithi kutoka kwa Mungu (Zaburi 127:3). Baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, Mungu aliwapa maelekezo mahususi tena kwa kurudiarudia kuhusu kuwafundisha watoto wao kile alichokuwa amewafundisha (Kumbukumbu la Torati 4:9-10, 40; 5:29; 6:2-9; 11:18-21). Bila shaka, Mungu alitaka mafanikio yanayotokana na…
