Kabla hujaingia kwenye ujasiriamali soma hapa kwanza Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka wa wazi kwa wahitimu wa elimu ya juu wa mwaka 2023. Katika makala yaliyopita ambayo ilikuwa sehemu ya pili ya waraka huu, nilikupatia mambo kadhaa unayopaswa kuyafahamu kabla hujaanza kusaka ajira. Kati ya mambo hayo, nilikushauri kufanya maamuzi ya kujiajiri…








