Perpetuals in DeFi: How to Trade, Hedge, and Survive the Leverage Game

Whoa! This whole perpetuals thing can feel like standing on a moving train. My first impression was: crazy fast. But then I dug into the guts and realized there’s method to the madness—mechanical rules, incentives, and brinksmanship. Initially I thought it was just futures without expiry, but actually, wait—there’s much more nuance when you push…

Hizi Ndizo Changamoto za Kuoana na Mtu wa Imani ya Dini Tofauti

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya mambo muhimu sana ya kuzingatia unapochagua mwenzi wa maisha (mume au ke) ni imani ya dini. Jambo hili limekuwa likipuuzwa sana na watu wengi na ni kawaida kukuta mkristo ameoana na mwislamu au mkristo ameoana na mtu asiye na dini au mkristo wa madhehebu fulani kuoana na mkristo…

Je, Kuna Tatizo Gani Kuoana na Mtu wa Imani Nyingine?

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wakati Mungu anaanzisha taasisi ya ndoa, alimtafutia Adamu mke wa kufanana naye kama Neno lake linavyosema “Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye” (Mwanzo 2:18). Kwa sababu hiyo, nasi hatupaswi kufanya tofauti bali kutafuta mtu wa kufanana nasi. Kufanana kwa wanandoa kutawafanya…

Kama Hizi Ndizo Sababu Zako za Kufunga Ndoa, Jitafakari Upya

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Zipo sababu nyingi zinazochangia kuharibika na hata kuvunjika kwa mahusiano katika ndoa. Sababu mojawapo ni sababu iliyowafanya wanandoa kuingia katika ndoa. Zipo sababu sahihi na zisizo sahihi za watu kuingia katika ndoa. Ukiingia katika ndoa kwa sababu sahihi, ndoa yako ina uwezekano mkubwa wa kuwa na amani, upendo na furaha.…

Kama Unataka Kupendeza Unapovaa Tai, Hizi Ndizo Kanuni za Kuzingatia

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika nchi nyingi duniani, tai inaonekana kuwa ni sehemu muhimu ya mavazi rasmi hasa kwa wanaume. Kwa sababu hiyo, wanaume wengi wakristo na hata wasio wakristo huvaa tai wanapojihusisha na shughuli mbalimbali zilizo rasmi na katika huduma zao ya kueneza injili. Tai nzuri yaweza kumwongezea mwanaume mwonekano na kumfanya apendeze.…

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kumjua Mchumba Anayekupenda Kwa Dhati

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Watu wengi wanaotafuta wachumba au walioko kwenye uchumba huwa wanajiuliza, nitawezaje kumjua mchumba mwenye mapenzi ya dhati kwangu na nitawezaje kumbaini yule asiye na mapenzi ya dhati kwangu? Kila mtu anayetafuta mchumba au aliyeko kwenye uchumba tayari, ni muhimu sana kujiuliza maswali hayo. Usipojiuliza maswali haya na kupata majibu yake…

Kama Hii Ndiyo Sababu Yako ya Kutumia Vipodozi, Achana Navyo

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika Biblia, matumizi ya vipodozi yanaonekana kwa mara ya kwanza katika 2 Wafalme 9:30 ambapo tunaelezwa namna Yezebeli alivyojipamba machoni na kichwani. “Hata Yehu alipofika Yezreeli, Yezebeli akapata habari; akatia uwanja machoni mwake, akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani”. Kisa hiki kilitokea wakati mfalme Yehu alipowasili Yezreeli baada ya kuwa amemuua…

Kama Wewe ni Mwanamke Unayetaka Kumvutia Mume Wako, Jipambe Hivi

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wanawake wa siku hivi wamekuwa wakihangaika kutafuta kila namna ya kuwavutia waume zao. Njia mojawapo ambayo wamekuwa wakiitumia ni kujipamba kwa namna mbalimbali. Lakini pamoja na kujiamba huko, baadhi bado hawawavutii kabisa waume zao. Kama wewe ni mmojawapo wa wanawake hao, bila shaka umewahi kujiuliza “hivi ninakwama wapi”? Kama hujawapi…

Kuna Uhusiano gani Kati ya Mwonekano wa Nje wa Mtu na Hali yake ya Kiroho?

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, “Mungu haangalii nje bali anaangalia ndani ya moyo” ni kauli maarufu sana inayotokana na dhana kwamba namna mtu anavyoonekana kwa watu wengine si muhimu ili mradi tu ndani ya moyo wake yuko safi. Watu wanaotoa kauli hiyo huenda mbali zaidi hata kuithibitisha kwa kutumia maandiko matakatifu kama vile  “…… Bwana…