Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Wakati Mungu anaanzisha taasisi ya ndoa, alimtafutia Adamu mke wa kufanana naye kama Neno lake linavyosema “Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye” (Mwanzo 2:18). Kwa sababu hiyo, nasi hatupaswi kufanya tofauti bali kutafuta mtu wa kufanana nasi. Kufanana kwa wanandoa kutawafanya…







